Kumpa mahojiano Dudu Baya ni upuuzi..

Kumpa mahojiano Dudu Baya ni upuuzi. Heshima ya kipaza ya chombo cha habari iko wapi?, mbona vipaza vinawekwa mbele ya watu ambao wamejaa hovyo?. Hivi kweli habari za hovyo ndiyo pendwa kwa jamii?. (Soni) Ipi ni habari kwa Dudu Baya? Mbona haina maana wal ...