Mchiz Moxie umeshindwa kuiga mfano wa Jay Mo?.

Mchiz Moxie umeshindwa kuiga mfano wa Jay Mo? Tunajua ukaribu wenu tangu mpo Wateule, na hakika mlifanya kazi bora zenye maisha ya nyakati zote kwenye huu muziki. (Hakika) Na ikumbukwe Wateule inaundwa na Solo Thang, Jaffarai, Jay Mo na Mchiz Moxie. Na ni ...

Wimbo Like a star Msanii King Saver.

King Saver ni msanii kutoka Tanzania Dar es salaam (Tabata) ambapo kwa sasa yupo Hong kong katika harakati zake za maisha, lakini hajautupa muziki ambao tangu yuko Tanzania alikuwa akifanya. Like a star ni wimbo wake ambao ameachia nyakati hizi, na tumeon ...

Dudu Baya ni mfa maji haki yake kutapatapa..

Dudu Baya ni mfa maji haki yake kutapatapa. Tujifunze tafakari ya mengi kabla hatujachachawa na machache yasiyo na maana. (Upuuzi) Sisi hatujawahi kuyumbishwa wala kuweka zingatio la lolote kutoka kwa Dudu Baya, achilia mbali nyakati za uzamini kwenye muz ...