Moni Centrezone agongwa na gari..

Moni Centrezone agongwa na gari. Moni ni msanii mbaye anaunda kundi la Moco akiwa na Country Boy. Ambapo amepata ajali ya kugongwa na gari maeneo ya Sinza La Chalz Pub, Alfajiri ya leo walipokwenda kununua chakula akiwa na msanii mwenzake Country Boy. Cou ...

Baraka Da Pince Ulimi uliponza kichwa.

Baraka Da Pince Ulimi uliponza kichwa. Hakika mswahili hakukosea kunena yakuwa “Jicho lililozima halistuki likiona bonde’, hakika semi hii ya mswahili inatufanya tutafakari mengi juu ya msanii Baraka Da Prince. Mei 7, 2018 tuliandikia andiko ambalo li ...