AAMKA MTANZANIA IPO TAYARI.

Aamka mtanzania ni wimbo uliofanyika maalum kwa uhamasishaji wa watu kujitokeza kupiga kura ili kuchagua viongozi wanaofaa na sio kulalamika baada ya uchaguzi kupita. Akizungumza na Team tizneez director Mecky Kaloka,alisema”Ni kitu kizuri kimefanyi ...

SISTER P,AELEZA SABABU ZA P FUNK KUMKUBALI.

Sister P ni moja kati ya waasisi wa muziki wa hip hop kwa upande wa kike.Licha ya kuwa muasisi wa muziki wa hip hop lakini kwasasa amebidilika na kuimba aina nyingine ya muziki ambao ni mchiriku huku akiwa ameshirikisha mkali Msaga Sumu. Akiongea kwenye k ...

MINZI MIMS WASANII BONGO FLEVA/MUVI HAWAJITAMBUI.

Minzi Mims ni video director anaefanya vizuri kwa sasa ambaye amefanya video kama,Run dsm ya P the mc, Raha ya Tid ,pamoja na nyingine nyingi. Kuelekea uchaguzi october 25 mwaka huu watu wengi  wameendelea kutoa maoni yao juu kile kinachoonekana wasanii ...

KALA PINA AVUKA KIKWAZO CHA KWANZA.

Karama Mosoud maarufu kama Kala Pina ambaye pia ni msanii wa muziki wa hip hop ambaye aliwahi kutamba na nyimbo kama mstari wa mbele, umoja ni nguvu hip hop bila madawa na nyingine nyingi,pia ni mtangazaji na mmiliki wa kipindi cha Harakati kinachorushwa ...