NEY WA MITEGO AWAFUNGIKIA WASANII WENZAKE.

Siku 30 kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania ndio siku pekee zilizobaki, Wakati kampeni zikiwa zinaendelea na wasanii wengi kuonekana wapo katika pande tofauti katika vyama na kupelekea kutumia zaidi kurasa zao za mitandao ya kijamii katika kutetea kiongozi ...

ALLY KIBA ASIKITISHWA NA MEDIA ZA TANZANIA.

Ally Kiba ni moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri kwasasa ndani na nje ya Tanzania,Pia ameshiriki katika msimu wa coke studio mwaka huu ambapo amepata fursa ya kushiriki katika wimbo mmoja na star Neyo kutoka nchini Marekani Kupitia mtandano wa picha In ...

HANSCANA AMPONGEZA BELLE 9.

Shauri zao ni video mpya iliyotoka siku ya ijumaa,ambapo mpaka sasa imeshafikisa watazamaji 13,008 kupitia mtandao wa youtube,Video hiyo imefanywa na director bora kwa  wa mwaka 2015-2016 kwa mujibu wa tuzo za watu zinazotolewa na mtandao wa Bongo5. Kupi ...

AAMKA MTANZANIA IPO TAYARI.

Aamka mtanzania ni wimbo uliofanyika maalum kwa uhamasishaji wa watu kujitokeza kupiga kura ili kuchagua viongozi wanaofaa na sio kulalamika baada ya uchaguzi kupita. Akizungumza na Team tizneez director Mecky Kaloka,alisema”Ni kitu kizuri kimefanyi ...

SISTER P,AELEZA SABABU ZA P FUNK KUMKUBALI.

Sister P ni moja kati ya waasisi wa muziki wa hip hop kwa upande wa kike.Licha ya kuwa muasisi wa muziki wa hip hop lakini kwasasa amebidilika na kuimba aina nyingine ya muziki ambao ni mchiriku huku akiwa ameshirikisha mkali Msaga Sumu. Akiongea kwenye k ...