WEMA SEPETU AFIKISHA WAFUASI MILIONI 1.

Bongo muvi star Wema Sepetu ambaye aliwahi kuwa mis Tanznaia mwaka 2007 na baada kuingia katika tasnia ya filamu na kuonekana kufanya vyema zaidi. Wema ambaye amekuwa gumzo kwa siku mbili baada ya kufanya sherehe yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa ambayo ilij ...

FID Q “NAKUMBUKA DENI LANGU”.

Fid Q ambaye ameonekana kukonga nyoyo za mashabiki wake katika jukwaa la Coke studio,ambapo ameshirikiana na msanii Maurice Kirya. Fid Q ni moja kati ya wasanii ambao wamekuwa wapo karibu zaidi na mashabiki wake hasa katika mtandao wa Twitter.Fid q hakusi ...

COUNTRY BOY “NAE AJA NA MIXTAPE”.

Wimbi la kutoa mixtape limekuwa likiendele kuwa kubwa kila iitwapo leo.Mwanzoni katika game ya music wa bongo haikuwa inafanya mixtape.Lakini sasa imekuwa kawaida wasanii wengi wa rap kufanya mixtape. Nikki Mbishi,One Incredible,Wakazi,Godzilla,Boshoo,Hal ...

OMMY DIMPOZ NA TUZO YA PEOPLE’S CHOICE.

Ommy Dimpoz ni star anaefanya vizuri ambaye anatuwakilisha vyema katika ramani ya music wa Africa.Tangu atoe kazi ya kwanza ambayo ilikuwa ni Nainai aliyomshirikisha mkali Ally Kiba,Ommy ameendeleza kudhihirisha ukubwa wa kipaji chake kwa kuendelea kutoa ...

JABIR SALEH AMLIZA GODZILLA.

Jabir Saleh ni moja kati ya watangazaji bora  ambaye amekuwa akifahamika zaidi kwa jina la Kuvichaka au Kibonge Tozi.Jabir ambaye anafanya kipindi cha The jump off na Bongo.home kinachorushwa nakituo cha Radio Times Fm jijini Dar Es Salaam.Pia jabir ni m ...