BEN PAUL “MUACHE DHARAU”.

Ben Paul ambaye hupenda kujiita king of Rnb,ambaye pia kwasasa yupo katika mash up ya coke studio na ameendelea kuonyesha uwezo wake wa kuimba live katika mash up hizo. Kupitia ukurasa wake wa Fcebook Ben paul ameandika “Huyu ni @mayungaa Mshindi wa ...

B DOZEN AELEZA ALIPOKOSEA RAY C.

Mtangazaji maarufu wa kituo cha radio Clouds fm ambaye anatangaza kipindi cha mchana maarufu kama XXL,Hamis Mandi a.k.a Bdozen ambaye ni miongoni mwa watangazaji machachari wanaofanya vizuri katika vipindi vya burudani. Kupitia kipindi cha mkasi ambapo al ...