BONTA NA MZIMU WA NIKKI MBISHI.

BONTA NA MZIMU WA NIKKI MBISHI Sehemu ya Kwanza. _____________________ Nyakati ambazo mtangazaji wa maarufu aitwaye Fred Fidelis (Fredwaa) alikuwa akitangaza kipindi cha asubuhi (sikikumbuki jina) ila kilikuwa kina segmenti inaitwa ‘Sindano Tano za Moto ...

FID Q AMPONGEZA DIAMOND PLATNUMZ.

Fid q ni moja kati ya wana hiphop wenye uwezo mkubwa tulibarikiwa kuwa nao Tanzania.Ngosha the don ambaye pia ni miongoni mwa wasanii wanaopenda kuwa wazi katika kitu chochote kile iwe kukosoa au kusifia. Ni siku mbili zimepita tangu kuachiwa kwa ngoma ya ...