BABU TALE “WASANII WANATAKIWA WAAMKE”.

Babu Tale ni moja kati ya mameneja wakubwa hapa Tanzania,ambaye anameneji wasanii wengi tu na wote wanafanya vizuri. Babu tale aliyasema haya katika semina ya MCEA na COSOTA ambayo ilikuwa inahusisha wasanii kupata haki miliki na hata kulipwa mirabaha mar ...

SNURA “NIMEFAHAMU KUHUSU HAKI YANGU”.

Snura ni msanii wa kizazi kipya aliyejipatia umaarufu wake zaidi na wimbo wa majanga.Akiongea na team tizneez kuhusu semina ya MCEA na COSOTA juu ya haki miliki pamoja kulipwa mirabaha.Ambapo Snura alisema”msikilize hapo chini Share this on WhatsApp ...

BELLE 9 ANAMALIZA MWAKA 2015 KIUTOFAUTI.

Belle 9 ni miongoni mwa wasanii wakali wa muziki wa rnb kutoka hapa inchini tanzania,Belle ambaye miaka yote tangu afahamike kwenye muziki amekuwa akifanya vizuri lakini mwaka huu imekuwa tofauti zaidi. Video yake ya Shauri yao ndo video yake ya kwanza ku ...