TUNDA MAN AKAMILISHA KAZI MBILI ZA KIMTAIFA.

Mama kijacho ni kazi yake inayofanya poa tangu itoke mapema mwezi huu.Kazi hiyo iliyofanywa chini ya studio ya A.M recods chini ya uongozi wake Manecky. Tunda man ambae anwakilisha kundi la Tip top connection,hakusita kuongelea kazi zake zinazokuja baada ...

MAPYA YAIBUKA LINEX NA ADAM JUMA WAITANA MBWA.

Adamu juma ni moja kati ya waongozaji video wakubwa tuliobarikiwa kuwa nao hapa Tanzania.Adam Juma ndiye muongozaji anaeongoza kufanya video nyingi na wasanii walio wengi hapa Tz. Mapema mwaka huu msanii Linex alitoa wimbo wake wa salima aliyomshrikisha D ...

SONGA AKAMILISHA ALBUM YAKE.

Hisia za moyo ni ngoma yake inayofanya poa kwasasa katika media mbalimbali hapa nchini na nje ya nchi pia.Songa ambaye pia ni miongoni mwa wasanii waliowahi kupata tuzo za mdundo kutoka kenya kwasabbu ya kupata wtu wengi wanapakua nyimbo zake kutoka katik ...