BANANA ZORO “NAAMINI KATIKA KIPAJI CHANGU”.

Ni moja kati ya wasanii wakongwe katika mziki wa bongo flava,ambaye tangu aanzishe The B band imeweza kudumu mpaka leo. Banana Zoro alizungumzia swala la wasanii wengi kuonekana wanafanya kazi zao na wasanii wa nje ambapo kwasasa imeonekana ni kitu kikubw ...