STARA THOMAS AZUNGUMZIA WASANII WA KIKE WA SASA.

Legend Stara Thomas ambae hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya unaoitwa beautiful love song ambao ameachia audio na video kwa pamoja. Wakati akitambulisha wimbo huo hakusita kuzungumzia wasani wa kike ambao wanafanya vizuri kwasasa.Stara amesema”Wanaj ...

BONTA NA MZIMU WA NIKKI MBISHI.

BONTA NA MZIMU WA NIKKI MBISHI Sehemu ya Kwanza. _____________________ Nyakati ambazo mtangazaji wa maarufu aitwaye Fred Fidelis (Fredwaa) alikuwa akitangaza kipindi cha asubuhi (sikikumbuki jina) ila kilikuwa kina segmenti inaitwa ‘Sindano Tano za Moto ...

FID Q AMPONGEZA DIAMOND PLATNUMZ.

Fid q ni moja kati ya wana hiphop wenye uwezo mkubwa tulibarikiwa kuwa nao Tanzania.Ngosha the don ambaye pia ni miongoni mwa wasanii wanaopenda kuwa wazi katika kitu chochote kile iwe kukosoa au kusifia. Ni siku mbili zimepita tangu kuachiwa kwa ngoma ya ...