FID Q BIOGRAPHY.

Fid Q Fid Q akionyesha kidole cha shahada – akiashiria wimbo wake wa “Chagua Moja“. Jina la Kiraia Farid Kubanda Jina la kisanii Fid Q Nchi Tanzania Alizaliwa 13 Agosti 1982 Aina ya muziki Hip hop Kazi yake Mwanamuziki Ameshirikiana na J ...

DHAHABU KWENYE PUA YA NGURUWE.

Awali sikuwa nafahamu hasa, nini ilikuwa maana ya mtunzi wa msemo “Mwanamke mrembo asiye na akili ni sawa na pete ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe.” Iliniwia vigumu sana kuelewa nini kilikuwa kimefichwa nyuma ya ujumbe wa huyu bwana. Kweli fumbo, mfum ...