
SIFAI Mp3 By Q JAY Feat JOSLIN.
Share this on WhatsApp ...
Mtangazaji maarufu wa kituo cha radio Clouds fm ambaye anatangaza kipindi cha mchana maarufu kama XXL,Hamis Mandi a.k.a Bdozen ambaye ni miongoni mwa watangazaji machachari wanaofanya vizuri katika vipindi vya burudani. Kupitia kipindi cha mkasi ambapo al ...
Tuzo za Afrima zimetolewa jumapili ya jana katika jiji la Lagos Nigeria ambazo zilihusisha wasanii wanne kutoka hapa nyumbani Tanzania.Diamond,Lina,Vanessa pamoja na Ally Kiba ndio wasanii waliotuwakilsha katika tuzo hizi za Afrima. Katika tuzo hizo msani ...
Hold on ni moja kati ya ngoma zake kali ambazo zimezidi kumuweka pazuri katika ramani ya muziki wa bongo fleva.Cjamoker ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki licha ya kuwa rapper na muimbaji wa muziki wa bongo fleva. Sijaona ni wimbo wake unatarajiwa kutoa ...
Game ni ngoma yao inayofanya vizuri katika chati za radio na runinga ndani na nje ya nchi pia.Navy Kenzo ni group linaoundwa na wakali wawili amabao ni Aika na Nahreel ambao pia na wapenzi wa muda mrefu. Aika aliambia Team tizneez”Kundi letu na Navy ...
Lucky Star ni miongoni mwa washiriki waliowahi kushirki katika shindano la The jump Off Michano 2015 lilioendeshwa na Times Fm radio hapa Jijini Dar es salaam.Shindano hilo lilisimamiwa na mtangazaji wa kipindi husika cha The jump off ambaye ni Jabir sale ...