YOUNG D KWA MARA NYINGINE TENA NA LAMAR.

Kwa mara ya kwanza ilikuwa n 2009 ambapo Young D alipata nafasi ya kufahamika na wapenda muziki wa bongo fleva kupitia wimbo wake wa Teacher uliofanywa na mtayarishaji Lamar kutoka Fishcrub Record. Miaka michache baadae walitengan kwa sababu ambazo ziliku ...

MASHAIRI YA WIMBO MPYA WA PICHA BY SONGA.

Songa ni msanii wa hiphop ambaye anafanya vizuri kwasasa kutoka hapa Tanzania.Ambaye pia amewahi kuchukua tuzo ya mdundo kwa kupata watu wengi zaidi wanapakua nyimbo zake kutoka kwenye mtandao wa mdundo. Ni wiki moja imepita tangu kuachia kibao chake cha ...