NAVY KENZO WATAJWA KUSHIRIKI TUZO NIGERIA.

Game ni ngoma yao inayofanya vizuri katika chati za radio na runinga ndani na nje ya nchi pia.Navy Kenzo ni group linaoundwa na wakali wawili amabao ni Aika na Nahreel ambao pia na wapenzi wa muda mrefu. Aika aliambia Team tizneez”Kundi letu na Navy ...

CHRISTIAN BELLA APIGA COLLABO NA KOFI OLOMIDE.

Star wa wimbo wa nani kama Christian Bella ambaye pia ni kiongozi wa Malaika Band yenye maskani yake Dar es salaam. Bella ambaye kipenzi cha watanzania walio wengi kwasababu tu aina ya muziki pia jinsi anavyoweza kuchezea sauti yake na kuweza kuimba kwa h ...