ALLY KIBA ATUA LOS ANGELES KUFANYA VIDEO.

Chekecha cheketua ni ngoma yake ya mwisho kutoa na kuonekana kuitendea haki hasa upande wa video.Ally Kiba hakuwa msanii wa kufanya video zaidi katika muziki,lakini sasa imekuwa tofauti katika muziki wake. Ally kiba ameamua kupaa zaidi baada ya kutua Mare ...

WEMA SEPETU AFIKISHA WAFUASI MILIONI 1.

Bongo muvi star Wema Sepetu ambaye aliwahi kuwa mis Tanznaia mwaka 2007 na baada kuingia katika tasnia ya filamu na kuonekana kufanya vyema zaidi. Wema ambaye amekuwa gumzo kwa siku mbili baada ya kufanya sherehe yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa ambayo ilij ...