Zaiid Asema chanzo na sababu ya dharau kati ya wasanii wakongwe na sasa.

Capture

Ni moja kati ya wasanii wa hiphop wanaofanya vyema katika ramani ya muziki hapa nchini. Kwa kile ambacho kinaendelea sasa ambapo wasanii wengi wachanga wanaonekana kutokutoa heshima inayostahili kwa wakongwe wa muziki wa kizazi kipya Team tizneez imemtafuta Zaiid na kuzungumza nae ambapo anaeleza hapa chini.

Msikilize Zaiid hapa