Young Killer Ataja list ya wasanii wake bora wa hiphop Tanzania.

Young Killer Ataja list ya wasanii wake bora wa hiphop Tanzania.

Sinaga swaga ndio wake unaofanya vyema sasa katika vituo mbalimbali vya habari.

Wimbo huo ambao umeleta mitazamo mingi juu ya mashabiki wa hiphop, juu ya  Young Killer kusema” Wanasema Joh anabebwa mpaka nahisi ni ukweli”

Mapema leo katika kipindi cha Planet Bongo Young Killer hakusita kuweka wazi wasanii wake bora wa hiphop ambao amemtaja Prof Jay, Fid Q, Joh Makini, Nikki Mbishi lakini pia akajiweka na yeye mweyewe katika list hiyo.

Lakini hakuacha kusema kuwa anawaheshimu wasanii wengine wote wa hiphop

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

Attachment