Young Killer asifu wimbo wa Rama Dee

killer

Young Killer asifu wimbo wa Rama Dee
Kambi Popote ni wimbo wake Young Killer Msodoki ambao ni wa mwisho kutoa, ambapo katika uhalisia haukufanya vyema kama nyimbo zake nyingi zilizopita.
Kupitia mtandao wa picha Instagram msanii Young Killer aliweka video huku akiimba wimbo wa Rama Dee, ambapo pia ameandika “Toka mwaka jana mpaka mwaka huu hakuna ngoma kali ya rnb kama hii, maneno kutoka moyoni.Support good music.”
Kipenda roho ni wimbo wake mpya wa mkali wa rnb Tanzania Rama Dee ambaye kwa sasa anaishi nchini Australia.
www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez