YOUNG KILLER AANDIKA UJUMBE KWA CHID BENZ

yong-killer

YOUNG KILLER AANDIKA UJUMBE KWA CHID BENZ

Popote kambi ni wimbo wake unaoendele kufanya vyema katika media tofauti tofauti hapa nchi, Young Killer ambaye aliwahi kufanya vyema na wimbo kama , Dear Gambe, Jana na leo, Power na nyingine nyingi.

Katika kile kinachoendela sasa kutoka kwa watu mbalimbali ambao wamekuwa wakimcheka Chid Benz kwa kuonekana kudhoofu sababu ya matumizi ya madawa ya kulevya. Hata tizneez kuandika andiko ambalo lilieleza mengi kuhusu Chid Benz (TUSIMCHEKE WALA TUSIMDHIHAKI CHID BENZ) lengo ilikuwa kuelemisha watu juu ya jinsi ya mtu kuepukana na mambo mabaya.

Msanii Young Killer kupitia WatApps ameandika “Tusichekane wote tunakuwa na vipindi vigumu na vinapita (Chid Benz Status” Hakika inapaswa kuiga mfano huu wa Young Killer ambaye ameonekana kumpa moyo Chid Benz.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez