YOUNG DEE NA TETESI ZA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA

young-Dee
Kuna tetesi nyingi zimekuwa zikiongelewa kuwa msanii Young Dee ameanza kutumia madawa ya kulevya,na kwamba ameshawishiwa na mpenzi wake Tunda.Nimezungumza na Young dee kwa takribani lisaa limoja ili kupata undani wa swala la yeye kutumia madawa ya kulevya na kuwa na dharau”Watu wanataka kunirudisha nyuma kuwa kunitengenezea habari mbalimbali za uongo zisizo na ukwel ndani yake.Haya ni maneno kutoka kwake akifafanua kuwa wengi wanaumona anadharau lakini si kwamba ni dharau. Bora niwe na marafiki wachache wanaonijenga kiakili na wenye kujielewa,kuliko kuwa na marafikiwengi ambao nia yao ni kukufirisina kukufanya usisogee asema Young dee “Kwasasa naangalia mziki wangu unaenda wapi na kwa namna gani nitafanya kufikisha mbali zaidi ya hapa nilipo na kufanya hivyo yanipasa kuwa na right people wa kuwa nao karibu au kufanya nao kazi.”

source Fresh120media.