YOUNG D KWA MARA NYINGINE TENA NA LAMAR

yuon
Kwa mara ya kwanza ilikuwa n 2009 ambapo Young D alipata nafasi ya kufahamika na wapenda muziki wa bongo fleva kupitia wimbo wake wa Teacher uliofanywa na mtayarishaji Lamar kutoka Fishcrub Record.
Miaka michache baadae walitengan kwa sababu ambazo zilikuwa ni za kimaslahI,Young D akaendelea na maisha mengine katika mziki wake na hata Lamar pia.
Mapema mwaka Paka Rapper maarufu kama Young D amepost picha katika mtandao wa picha instagrama na kusema “Huyu jamaa nimefanya nae kitu kikubwa sana jana usiku hadi naogopaaa”yuon
Wengi wameonyesha kufurahi kwa wakali wawili kukutana na kufanya kazi tena,Hii ni baada ya picha hiyo kupata maoni mengi ya mashabiki wake Young wakisifu jambo hilo.