Witness Aeleza tatizo kwenye muziki wa bongo fleva.

WITTY buku jero video

Ni moja kati ya wadada machachari ambao ni ukweli wanafanya vyema katika muziki wa hiphop ndani ya  nchi na nje ya nchi pia. Witness ni moja kati ya wakali watatu waliokuwa wanawakilisha kundi la Wakalisha ambalo likuwa na mkali Langa Kileo ambaye sasa ni marehemu lakini pia mwanadada Shaa ni moaja kati ya watatu hao.

Mapema hakusita kuiambia Team tizneez ambapo amesema “Msikilize hapa chini