Witnes Akana urafiki na Shaa.

Witnes Akana urafiki na Shaa.

Witnes ni moja kati ya wasanii ambao walikuwa wanaunda kundi la Wakilisha ambalo lilikuwa ni moja ya makundi makubwa katika muziki wa kizazi kipya. Kundi hilo lilikuwa linaundwa na Shaa, Witnes, pamoja na Marehemu langa.

Mapema Witnes alizungumza na Team Tizneez ambapo aliweka wazi mambo matatu ambapo ni kuhusu, wimbo wake mpya, mahusiano yake na Shaa lakini pia kuweka mahusiano yake hadharani na Ochu Sheggy.

Sikiliza hapa chini.