Weusi uso kwa uso na Christian Bella tena.

Weusi uso kwa uso na Christian Bella tena.

Weusi ni muunganiko wa wasanii watano ambao wako chini ya mwamvuli wa hiphop.

Gnako, Nikki wa Pili, Joh Makin, Bonta na Lord Eyez ni wasanii ambao wanaunda genge la Weusi.

Mapema leo kupitia mtandao wa picha ‘Instagram’ kwenye ukurasa wa Joh Makin ameandika “Weusi X Bella mzigo upo tayari”.

Ikumbukwe huu utakuwa ni wimbo wa pili kufanya pamoja kati ya Weusi na Bella ambapo wimbo wa kwanza ulikuwa ni Nijue ambao ulitoka mwaka 2017.

Mwisho.

#TuzungumzeMuziki.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa