WENGI WAJITOKEZA GRAFFITI EVENT,P THE MC NA ZAIID WAFUNIKA

IMG_2045
Graffiti event ni tamasha lilifanyika jumamosi ya tarehe 21 pale Nafasi Arts Mikocheni.Tamasha hilo ambalo liliusisha sanaa ya uchoraji pamoja na muziki wa hiphop,ambapo walioudhuria walipata nafasi ya kuona mengi katika uchoraji pia katika swala zima la music wa hiphop.

HNH ni moja kati ya watu walikuwepo katika tamasha  hilo,inaweza kuwa jina likawa geni katika masikio yako lakini ni  moja kati ya wasanii wachache walipanda na kutoa freestyle na kupelekea kushangiliwa zaidi na mashabiki waliokuwa wameudhuria tamasha hilo.

Wasanii wengine walikokuwepo ni pamoja na Fid q,Nikki Mbishi,Mkoloni wa Wagosi wa kaya,Tifa Flow na wengine wengi.

Katika tamasha hilo la Graffiti event watu walipata nafasi ya kujifunza jinsi ya kuchora bila gharama yoyote ile,Na baadae kupata burudani kutoka kwa wakali P the mc,Zaiid na mkali Stosh.

Picha zipo hapa  kuona taswira ya tamasha zima

IMG_2057

Zaiid akiwa jukwaani

IMG_2054

P the mc akiwa jukwaani

IMG_2047

P the mc na Zaiid wakiwa jukwaani

IMG_2040

Baadhi ya waudhuriaji wakijadili jambo

IMG_2042

P the mc na Zaiid wakiendelea kufanya yao jukwaani

IMG_2035

Cheche mtungi nae alikuwepo katika tamasha hilo

IMG_2029

IMG_2028

IMG_2025

baadhi ya mashabiki wakiwa katika mishangao tofauti katika Grffiti event

IMG_2023

Mgosi Mkoloni akipiga selfie katika ubao wa graffiti

IMG_2020

IMG_2018

baadhi ya wachoraji walikuja kujifunza wakibadilishana mawazo

IMG_2017

IMG_2010

IMG_2009

IMG_2004

IMG_2001

IMG_1993

IMG_1979

IMG_1989

IMG_1975

IMG_1970

IMG_1968

IMG_1961

IMG_1957

IMG_1944

IMG_1935

IMG_1934

IMG_1861

IMG_1816

IMG_1754

IMG_1755

IMG_1849

IMG_1887

IMG_1851

IMG_1892

IMG_1807

IMG_1813

IMG_1852

IMG_1905

IMG_1919

IMG_1853

IMG_1814

IMG_1752