WEMA SEPETU AFIKISHA WAFUASI MILIONI 1

wema
Bongo muvi star Wema Sepetu ambaye aliwahi kuwa mis Tanznaia mwaka 2007 na baada kuingia katika tasnia ya filamu na kuonekana kufanya vyema zaidi.
Wema ambaye amekuwa gumzo kwa siku mbili baada ya kufanya sherehe yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa ambayo ilijumuisha mastaa wengi kutoka katika tasnia tofauti tofautihapa nchini.
Mapema leo Wema ameweza kufikisha followers milioni moja,Na ni star wa kike kutoka Eat Africa baada ya wakwanza kuwa ni Lupita Nyongo kutoka nchini Kenya.Lupita kwasasa ana followers milion moja na laki tisa.Sasa Wema ameingia katika orodha ya mastaa wenye followers wengi Africa.
wema
Facebook.com/Tizniz
Instagram.com/tizneez
Twitter.com/tizneez