WCB yakabidhi madawati 600 kwa Mh Makonda

index

Wcb ni moja kati ya Label kubwa sasa Tanzania, ambayo inaongozwa na msanii Diamond Platnumz, WCB ikiwa na maana Wasafi Classic Baby

Wcb mapema leo wamekabidhi madawati 600 kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda. Hakika hili ni jambo jema na lukupongeza.

Wcb mpaka sasa ina wasanii watano ambao ni Ray Vany, Harmonize, Qeen Dorin, Rich Mavoko na Diamond Platnumz.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez