“Watayarishaji wa muziki hawana ushirikiano” Mswaki

mswaki

“Watayarishaji wa muziki hawana ushirikiano” Mswaki

Ni moja ya wasanii ambao walifahamika zaidi kipindi cha msiba wa rapper kutoka Chemba Squad Albert Mangweair ambaye alifariki nchini Afrika ya kusini. Kitu pekee kilichompa umaarufu ni kuimba wimbo ambao sauti yake ilikuwa ni kama ya Albert Mangweair kwa 99%. Wimbo huo ulijulikana kwa jina la Open Latter.

Mswaki ni mtayarishaji wa muda mrefu kwa wale ambao wanafutailia muziki wa kizazi kipya kwa undani hakika si jina geni hili la Mswaki.

Mswaki ambaye sasa ametaka kutambulika kama rapper na sio kama mtayraishaji wa muziki wa kizazi kipya. Lakini hakusita kusema juu ya watayarishaji walivyo hasa wa hapa nchini.

Mswaki amasema “Watayarishaji wengi wa muziki hapa Tanzania wana roho fulani za kujisikia yani kama mimi mkali. Ila hakuna ushirikiano wa watayarishaji, mimi huwa nawacheki zaidi kama nikiwa na shida ila kama atanata bas next time sitamtafuta tena.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez