‘Watangazaji na madj zipotezeni nyimbo zilizotolewa kipindi cha msiba wa wanafunzi”

Haya ni mahojiano yaliyofanya na Team tizneez, ambayo yamemuhusisha Katibu wa Tuma ambacho ni chama cha muziki wa kizazi kipya, ambaye ni Samweli Mbwana maarufu kama Braton. Braton ameongea juu ya ajali ya wanafunzi, wasanii kuposti picha za miili ya watoto hao, lakini pia wasanii kuendelea kutoa nyimbo zao ambazo hazihusu msiba huo wa taifa.
Sikiliza hapa chini

kwa yote kuhusu bongo Fleva/Hiphop ni www.tizneez.com