WASANII WANAONGOZA NYIMBO ZAO KUCHEZWA ZAIDI RADIO/TV

radio-microphone

WASANII WANAONGOZA NYIMBO ZAO KUCHEZWA ZAIDI RADIO/TV

CMEA ikiwa na kirefu cha Copyrights Management East Africa ambayo kazi yao kubwa ni kutoa takwimu kuhusu media kutumia/kucheza wimbo wa msanii husika mara ngapi na hata kujua muda gani kazi hiyo ilichezwa.

lakini Cmea wamekuwa na taratibu pia ya kutoa takwimu za nyimbo zilizohezwa mara nyingi Radio na kwenye Runinga.

Mapema leo kupitia ukurasa wao wa Twitter “CMEA walitoa listi ya wasanii pamoja na nyimbo zao zilizochezwa mara nyingi tangu, Wasanii Hawa Ndio Nyimbo zao Zilichezwa Sana Katika Radio Na TV Mbalimbali Tanzania Toka Trh 15 Feb2016 hadi 21 Feb2016” Tazama chini kuona hiyo list.

Cb0cx0cW0AAKPye.jpg large

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez