“Wasanii wa Muziki huu kizazi kipya wanaishi kwa Kuchukiana” Tid

“Wasanii wa Muziki huu kizazi kipya wanaishi kwa Kuchukiana” Tid

Baada ya taarifa za kifo cha msanii Sam wa Ukwel, wasanii wengi wameposti na kueleza hisia zao juu ya kifo cha Sam.

Ambapo msanii Tid ameandika kupitia mtandao wa picha ‘instagram’ “Wasanii wa Muziki huu kizazi kipya wanaishi kwa Kuchukiana kuna wengine wanafanya wenzao wananyimwa haki za msingi.

Star kama huyu anaumwa vipi muda wote huu hapewi msaada R.I.P Sam wa Ukweli….#BongoFlevaUnite”

#TuzungumzeMuziki