Wasanii 10 bora wa kizazi kipya cha hiphop Tanzania.

Wasanii 10 bora wa kizazi kipya cha hiphop Tanzania.

Tizneez Media Group tumeamua kutoa listi ya wasanii 10 bora kwa lengo la kuonyesha kuwa tunathamini thamani yao na kujua kwa upana namna ya uwezo wa kwenye muziki huu wa hiphop.

Lakini listi hii imezingatia mambo matano ambayo ni Album/Mixtape, Uandishi, Midondoko, Nidhamu na Kutawala jukwaa. Kwa ujumla hayo ni mambo matano.

Mambo matano hayo yanakamilisha uwezo wa msanii kuitwa msanii tena bora Zaidi. Hivyo katika listi kama msanii amekosa kigezo kati ya hivyo listi haitamuhusisha kwa maana tumezingatia vigezo vyetu sisi ambavyo vitafanya msanii awepo katika listi hii.

Lakini pia watu watofautishe vigezo hivi na wasanii wengi ambao wanasikika Zaidi kwenye media na kuona kwenye listi hii hawapo, Kwa uelewesho tu ni kwamba kama msanii hajatimiza vigezo vyetu vitano ni wazi hawezi kuingia kwenye hii listi.

Lakini ubora wa msanii sio kusikika kwenye media bali kuweza kuwa na vigezo stahili vya kuitwa bora.

Listi ya wasanii 10 bora wa kizazi kipya cha hiphop Tanzania ni.

  1. Nikki Mbishi
  2. One The Incredible
  3. Stereo
  4. Godzilla
  5. Wakazi
  6. Stamina
  7. P the Mc
  8. Darasa9
  9. Country Boy
  10. Songa

#TuzungumzeMuziki na sio mengineyo lakini namba ni mpangilo tu wote ni bora.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

 

Special Thanks to Boyca and King Moruo.