“Wasafi hawawezi kunibadilisha” Jcb

“Wasafi hawawezi kunibadilisha” Jcb

Ukisikia paah ni moja kati ya nyimbo zake nyingi zilizofanya vyema kwenye ramani ya muziki wa kizazi kipya.

Kumekua na maneno mengi mara tu tangu Jcb kuonekana kwa picha za msanii huyo wa hiphop Jcb ambazo zilimuonyesha akiwa katika studio za Wasafi pamoja na wasanii ambao wanawakilisha Label hiyo.

Mapema leo Jcb hakusita kuweka wazi mitazamo ya mashabiki juu ya yeye kubadilika kimuziki.

Jcb amesema ‘Wasafi ni studio kama studio nyingine tu,hivyo hakuna kibaya kwenda pale ni sawa na Bongo Record au studio nyingine  yoyote ile. Na watu lazima wajue siwezi kuacha misingi yangu lakini pia wasafi hawawezi kunibadilisha. Na muda wowote kutoka sasa watasikia ngoma.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

 

 

Attachment