WAKAZI AZUNGUMZIA KILICHOTOKEA TUZO ZA KORA

Screen-Shot-2015-12-26-at-4.18.16-PM

WAKAZI AZUNGUMZIA KILICHOTOKEA TUZO ZA KORA

Wakazi ni msanii pekee wa hiphop kutoka Tanzania aliyebahatika kuingia katika tuzo za Kora mwaka huu 2016, ambazo mwaka huu tuzo hizi zilipangwa kufanya nchini Namibia

Mapema leo Wakazi ameweka wazi ukimya unaoendelea sasa katika swala zima la upigaji kura. Ambapo Wakazi amesema “Kwanza zoezi limesogezwa mbele ila haijasemwa kama litaanza lini tena, kimsingi kilichotokea ni siasa tu mana zile tuzo hufanyika South Africa ila this time ilikuwa zifanyike nchini Namibia.Hivyo vifaa vingi vilikuwa vitoke south kwenda Namibia Ila tuendelee kuvuta subira tukisubiri kile kitachoendelea.”

Diamond Platnumz,Vannesa Mdee na Mrisho Mpoto ni miongoni mwa wasanii waliongia katika tuzo hizo mwaka huu.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez