Wakazi azungumza madai ya wasanii kwa ujumla

IMG_6533

Wakazi ni msanii wa muziki wa hiphop, ambaye ni wazi mwaka huu alikuwa ni msanii pekee kuingia katika tuzo za Kora ambazo mpaka sasa bado hazijatolewa maamuzi juu ya muenndelezo wake. Mapema leo Wakazi hakusita kuweka wazi madai ya wasanii kwa ujumla juu ya kazi zao kuchezezwa kwenye vituo vya radio na runinga kwa 90%.

Wakazi akizingumza na Team tizneez amesema” Msikilize hapo chini.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez