Wakazi Atoa mtazamo wake juu ya wimbo wa Nikki Mbishi

Wakazi Atoa mtazamo wake juu ya wimbo wa Nikki Mbishi

Wakazi ni moja kati ya wasanii wa hiphop ambao ni wepesi mno kutoa mitazamo yao katika yote yanayohusu sanaa au hata yasiyohusu sanaa.

Mapema leo kupitia mtandao wa Twitter hakusita kuweka wazi mtazamo wake juu ya wimbo wa Natoka Tanzania wa Nikki Mbishi.

Natoka Tanzania ni wimbo uliotoka mwaka 2014 ambao ni wimbo uliobeba ujumbe unaishi mpaka leo hii.

Ambapo kupitia mtandao wa Twitter Wakazi ameandika “I think in “Natoka Tanzania” Nikki alipaka choo kuliko ya ” I’m Sorry JK”. Personally l, it’s one of Top 5 greatest rap songs hapa bongo”

www.tizneez.com

Twitter Tizneez

Instagram Tizneez

Facebook Tizneez

Youtube Tizneez