Wakazi atoa listi ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album yake ya Kisimani

Wakazi atoa listi ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album yake ya Kisimani

Msanii wa hiphop Wakazi Kupitia mtandao wa picha Instagram ameandika list ya nyimbo zake ambazo zitakazopatikana katika album yake hiyo ambayo ameipa jina la Kisimani.

Nyimbo ambazo zitapatikana katika album hiyo ni

KISIMANI ALBUM TRACKLIST

01. Intro/Kifo
02. Mtu Mzima ft. Frida Felix
03. So Swaggabovu (Ustadi)
04. Kwanini ft. Barakah Dah Prince
05. Moyo
06. Siri Ya Mafanikio
07. Matatizo ft. Laylah
08. Tradin Bars ft. One Incredible
09. Bakora
10. Nabebwa Na Beat
11. Ndoto Ya Kijiweni
12. Pole Pole Bro ft. Ayler
13. Wanawake Wa Dar (WWD)
14. Kila Siku ft. Rosie M
15. Amka Twende ft. Laylah & Ibrah Nation
16. Hapa Wakazi Tu
17. Nimezama
18. Nimetekwa ft. Dabo