Wakazi Ataja wasanii 5 bora wa hiphop wakati wote, na vigezo vya kuwa bora

IMG_6533

Baada ya kutokea kwa mneneo mengi katika matandao wa Twitter bada ya msanii wa hiphop Wkazi kutaja Top 5 ya wasanii bora wa hiphop wakati wote, na baadhi ya watu kuona kama ni dhihaka juu ya kutokumtaja Solo Thang. Ambapo Solo Thang hakusita kuandika kupitia mtandao huo “Reason wahy bongo fleva is shining more than bongo hiphop, Rappers are busy listin their top 5 mces, claimin whose best/illest, get to work.

Mapema leo Wakazi hakusita kuiambia tizneez juu vigezo vya msanii wa hiphop kuwa bora wakati wote.

Sikiliza sauti yake Wakazi Chini hapa.

 

Wasanii ambao walitajwa kama top 5 mCees kutoka kwa Wakazi ni Sugu, Prof Jay, Fid, q, Mwana Fa na Nikki Mbishi.