WAKAZI ATAJA TOP 5 ALL TIME EMCEES TZ

m

Natokea Dar,Kanuni za hela ni video zake mbili zinazofanya zizuri kwasasa.Wakazi ambaye pia mwaka 2015 umeonekana kuwa mwaka mzuri kwake  na kwenye  music wa Hiphop wa hapa TZ.Hii ni baada ya wimbo wake wa Party Exclusivekuingia kuwekwa katika mixtape ya Salaam Aleku inayotayarishwa na Dj Kalrlifornia wa Nigeria, Na Wakazi amekuwa ni msanii pekee kutoka East Africa,Hata hivyo Wakazi amechaguliwa katika tuzo za Kora Music ambazo hufanyika South Africa ambapo pia ni msanii pekee wa hiphop kutoka Tanzania.

Mapema leo kupitia mtandao wa picha Instagram Wakazi aliweka post iliyosema “Top 5 dead or Alive, Profesa Jay, Sugu, Fid/ FA, na maybe anafuata Nikki/ Mbishi ila Nafasi zao milele haziishi/ by next year bila kelele, I’ll be on top of the List/ © Wakazi #BallonDorMusic #Workethic #Top5AllTimeEmcees.”

Picha chini ikionyesha post ya Wakazi

wakz

Cc# www.tizneez.com

Instagram@tizneez

Twitter@tizneez

Facebook@tizneez