Wakazi ataja majina ya wasanii 30 anaowapa nafasi kubwa.

Wakazi ataja majina ya wasanii 30 anaowapa nafasi kubwa.

Kupitia mtandao wa Twitter katika ukurasa wake Wakazi ametuambia yakuwa majina hayo yafuatayo chini ni “Kizazi kipya cha wachanaji, ambao nawapa nafasi kubwa sana ya kufanikiwa, na kuudumisha utamaduni wetu wa Hip Hop”

Brian Simba
Yeyo Leslie
Lo Ski
Clint Fierce
George Gavin
Orbit
Rosa Ree
Frida Amani
G Boy
Mex Cortez
B Sebbo
Loco Spitta
Pablo
Mic Lon
OMG
Stosh
Tiffah Flowz
Sumawani
Naguar
Simalike
T Gwan
Boshoo
Nchama
Lord Bullet
Chinbees
Elisha James
Moh Rhymes
Ison Mistari
H.I.M
Maarifa

Je ni msanii gani ambaye unamuamini zaidi katika list hii, pia ambaye hayumo katika listi hii lakini unamuaminia zaidi?

#TuzungumzeMuziki