Wakazi amtaja msanii wa kike ambaye anamkubali kwa juhudi zake.

Wakazi amtaja msanii wa kike ambaye anamkubali kwa juhudi zake.

Mtikila ni Mixtape yake ambayo imeweza kuwa bora katika vilinge vyote vya hiphop ndani ya nchi na nje pia.

Wakazi ni moja kati ya wasanii wenye ujazo wa mambo mengi mno. Licha ya kufaya muziki wa hiphop ila pia amekuwa akitumika na wasanii katika kuwaandikia ‘Biography’ zao, pia hata kuandika muongozo wa video.

Mapema leo kupitia mtandao wa Twitter msanii Wakazi ameandika “Moja ya wasanii wa kike ambao nawakubali sana kwa juhudi zako na heshima ya Kazi zao ni Dayna Nyange… God bless your hustle”.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez