WAKAZI ACHAGULIWA KORA AWARDS USO KWA USO SARKODIE NA KO

index
Wakazi ni moja kati ya marapper wakali ambao mara nyingi sio rapper wa kumsikia katika media kama ilivyozoeleka na marapper wengine.Wakazi pia ni moja kati ya wasanii walioanzisha kufanya mixtape album hapa Tanzania.
Wanawake wa dar,touch,tayari kwa yote,so harder hizi ni baadhi ya ngoma zake ambazo zinafanya vizuri kwa wapenzi wa hiphop.Dengue fever ni ngoma yake iliyofanya vizuri katika mdedia mabalimbali licha ya kuwepo nyingine.lakini dengue fever n ngoma iliyoweza kumfikisha hapa katika tuzo za kora zinafanyika kila mwaka South Africa.
Kupitia mtandao wa picha Wakazi ameendika”
wakaz
Hii ni hatua nzuri katika rap music,Team tizneez inampongeza kwa hatua hii tunaamini mpaka katika hatua hii Wakazi ni mshindi.Il tukamilishe hili kwa kumpigia kura pale tu inapotangazwa.
Hongera Wakazi kwa hatua hii.