“Wadogo zangu wanaipoteza bongo fleva” Mandojo

Mapema leo Team tizneez imezungumza na Mandojo ambaye ni miongoni mwa wasanii wa zamani walioweza kufanya vyema na uimbaji wa pamoja kati yake na mwenzake Domokaya.

Team tizneez imehoji kuhusu mambo 3 ambayo ni

I Ukimya wao

II  Mabadiliko ya kimuziki

III Je wao watabadilika.

Mandojo amejibu sikiliza hapa chini.