Visasi husababisha dharau kwa wasanii wakongwe na wasasa.

Visasi husababisha dharau kwa wasanii wakongwe na wasasa.

Nidhamu mbovu imekuwa ikizungumziwa zaidi na wasanii wakongwe ambao wengi wao wamekuwa wakiwashutumu wasanii wa sasa kutokuwa na nidhamu juu yao.

Mapema Team Tizneez imezungumza na msanii chipukizi Eddo Boy ambapo amesema “Si kama wasanii wa sasa hawana nidhamu bali wengi wao wana visasa katika mioyo yao. Unajua wakati unahangaika kutoka unaweza kumfuata msanii mkubwa ukitegemea msaada Fulani ila jinsi atakavyokupokea ndivyo atakavyomchukulia baadae.

Hivyo wengi wetu huwa na visasi sio nidhamu, ni wazi watu nidhamu tunazo ila visasi vimetawala katika akili zetu jinsi ambavyo tulifanyiwa mwanzo.

 

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez