Ushauri wa Jay Mo kwa Songa

jay moe

Ushauri wa Jay Mo kwa Songa

“Songa we unaweza sana lakini using`ang`anie hiki kitu ( anamaanisha Boombap Rap) ambacho kinachukua muda mrefu watu kukielewa. Kuna kitu ukikifanya siku moja watu watakujua nchi nzima. Mimi sasa nina miaka 36 niking`ang`ania hicho unachotaka kufanya…. mwishoni nitakuja kuchekwa”.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

 

 

 

 

 

 

Source Malle Hanzi