Ukweli kuhusu Kitale na lambi lambi kwa familia ya Kinyambe

Baada ya kutuhuma kuwa nyingi kwa msanii kitale kuwa hakufikisha tanzia aliyopewa na Mh. Nape Nauye, Waziri wa Utamaduni, Habari na Michezo kwa familia ya marehemu Kinyambi. Papaso ya TBC kupitia mtangazaji wake Baghdad Kweka ilimtafuta kwa njia ya simu Kitale pamoja na Mh. Waziri na kuweka bayana mambo yalivyokuwa. Bonyeza Play kusikiliza mahojiano yao.