“Uamuzi ni wako wewe msanii” Kala Jeremiah

e3c4Kala-Jeremiah

“Uamuzi ni wako wewe msanii” Kala Jeremiah

Malkia ni wimbo ambao unaendelea kufanya vyema katika vituo vya radio na runinga mbalimbali hapa nchini.

Katika kile kinachoendelea kuonekana wasanii wengi kutumia kama kiki ili waweze kuzungumziwa katika vyombo vya habari, ambao wapo hata baadhi wanaotumia picha chafu au hata wanawake ilimradi tu iwe gumzo na waweze kufahamika zaidi.

Kala hakusita kuweka wazi mtazamo wake ambapo alisema “Maamuzi ni ya kwako msanii husika maana kila mtu ana ndoto yake. Mimi siwezi kufanya vitu kama hivyo maana baadae nina mipango mingine ya maisha tofauti”.

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez