Tweet 4 za Wakazi kwenda kwa Mh Paul Makonda.

IMG_6533

Tweet 4 za Wakazi kwenda kwa Mh Paul Makonda.

Wakazi ni moja kati ya wasanii hiphop bora ambao tumebahatika kuwa nao katika ramani ya muziki wa kizazi kipya.

Kupitia kile ambacho wengi wamekuwa wakieleza mawazo yao juu ya kauli ya Mh Makonda ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, juu ya vitendo vya ushoga. Ambapo Mh Makonda alisema “Kwenye instagram wale wote wanaomfollow hakika ni watuhumiwa sawa na huyo shoga, hivyo ni kheri umu unfollow shoga huyo”

Wengi wametoa maoni kupitia mitandao ya kijamii kama habari hiyo ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Wakazi hakusita kuandika kwenye mtandao wa Twitter ambapo ameandika Tweet 4.

Capture

Wewe Je una maoni gani kwenye hili juu ya Mh Paul Makonda?

Tupe maoni yako chini hapo.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez